DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Tuesday, April 22, 2014

MAFOTO: WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA WAKIJIACHIA KATIKA TAMASHA LA PASAKA 2014

Ulifiaka wakati wa waimbaji kufyatua picha baada na kabla ya kupanda jukwani. Tuone baadhi ya waimbaji hawa wakiachia katika tamasha la pasaka 2014 lililoandaliwa na Msama Promotion ambapo kulikuwa na waimbaji kutoka nchi ya Zambia (Sekeleti) na Afrika Kusini (Keke)




Suala la muonekano Kwa wanamuziki wa injili ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa sana kwenye vyombo vya habari. Zifuatazo ni picha za wanamuzikiwa Injili na watu maarufu walivyotupia kwenye Tamasha la Pasaka siku ya Jumapili.


Mwanamuziki Wa Kimataifa Upendo Kilahiro akiwa kwenye muonekano maridhawa


Mwanamuziki Jesca Honore a.k.a Jesca BM akiwa ndani ya Vazi Refu lenye Staha

Hivi ndivyo ambavyo Sura ya Jesca BM ilipambwa na Tabasamu


Mwanamuziki Kutoka Zambia Ephrahim Sekeleti akiwa kwenye Muonekano wa Kiuanamuziki


Sarah K mama niseme akiwa kwenye Muonekano wa aina yake


Full Mwonekano wa Sekeleti

La Presidaa Imma Mabisa wa GWT akiwa katika muonekano wa mpangilio


Red, White and Black

Debro la Presidaaa and Produce' wa Calvary Band akiwa makini

Pozz la Ukweli la Le Presidaa

Hawa Jamaa ni wa Ukweli Sana kama AKI na UKWA wanaonesha kuwa kucheza Show sio Kuvaa Hovyo nayo ni Kazi
Kila Kazi Na Mwonekano wake

Baba Watatu yeye aliamua kutokelezea Kitamaduni zaidi

Huyu ni mwanamuziki anayefanya kazi ya Muziki wa Injili nchini Uingereza akiwa ndani ya Pozz la Suti.

Mkanda wake unaalama ya |M" yaani Masanja. Huyu ndiye ni Masanja Mkandamizaji

Masanja Mkandamizaji

Evelyne kushoto akiwa na mwenzake Pozz Maridhawa


Evelyne akiwa kikazi ndai ya Uwanja Wa Taifa

Mamaa na Kati ya Kimara Upendo Nkone akiwa na Vazi la Kiafrica Ndani ya Uwanja wa Taifa

Upendo Nkone

No comments:

Post a Comment