MAHOJIANO KATIKA KITUO CHA UTANGAZAJI CHA WAPO RADIO FM
Haya yalikuwa ni mahojiano juu ya uzinduzi wa albamu yangu ya MUNGU HABADILIKI katika ukumbi wa UBUNGO PLAZA siku ya tarehe 02/03/2014

Kulia ni Mtangazaji wa Wapo Radio FM, Silas Mbise

MAHOJIANO NA KITUO CHA UTANGAZAJI CHANNEL TEN HAPA TANZANIA
Haya yalikuwa ni mahojiano juu ya uzinduzi wa albamu yangu ya MUNGU HABADILIKI katika ukumbi wa UBUNGO PLAZA siku ya tarehe 02/03/2014

No comments:
Post a Comment