DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Wednesday, July 23, 2014

AMBWENE MWASONGWE, MESS JACOB CHENGULA NA WENGINE WENGI KUWASHA MOTO KATIKA UZINDUZI WA MWANADADA FURAHA ISAYA JUMAPILI HII

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxrmAYx1QLdTjnYEIESgH1yk-h9gllEoE1EL5tvNVWnZ2H_68Gw5t6WM9z_Uze_s0VCSoM-Kcrsi91vpON_yKnZSXoPusm0kRHL5NeixPddKjvuHLrH2KufYGwBgN0FkgZJWs76Au79rpd/s400/ambwene.JPG
 Waimbaji zaidi ya 20 kuvamia jukwaa moja wakitumia mic moja katika uzinduzi wa albamu moja ya mwimbaji mmoja siku moja na katika ukumbi mmoja akiwemo mgeni rasmi
mmoja..Siku hiyo ni siku ya kipekee kuona mwanadada Furaha akiiimba LIVE..Uwepo wa Mungu utatanda mahali pale, USIKOSE KABISA




https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQpOwbLlhtjdnfp8fDPNZij0sFsM059uQdPKfRqDNtOIU3P8aTSOYpcppcvGBl5Nb5CtzAfmI-y8CZrjNeMNcGCn2RZ0H0LgrC0qkcJlDmLwwdHWeggxvcdar6DOV8lGDsFpffviST7hEI/s1600/935276_247295555436758_1917496534_n.jpg
Mess Jacob Chengula

No comments:

Post a Comment