DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Thursday, September 11, 2014

MATOKEO YA UZINDUZI WA ALBAMU YA MESS JACOB CHENGULA NA FAINALI ZA KOMBE LA MESS CUP MKOANI IRINGA


Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Mess Jacob Chengula mkazi wa jijini Dar es Salaam hivi karibuni alizindua albamu yake ya MUNGU HABADILIKI  mkoani Iring. Uzinduzi huu uliambatana finali za mpira wa miguu, wachezaji walikuwa wakiwania kombe la MESS CUP lililoandaliwa na mwimbaji huyu.

Tamasha hili lilihudhuriwa na watu wengi sana ambao walitamani kumuona Mess Jacob Chengula akimtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Watu walibarikiwa sana na kile kilichokuwa kikiendelea uwanjani hapo.Waimbaji walikuwa wengi sana kutoka Iringa na
Dar es Salaam ambao waliweza kushusha wingu la uwepo wa Mungu katika uwanja wa Samora. Kama kawaida yake mzee Bamboo alifanya yake kuhakikisha watu wanavunjika mbavu. Angali baadhi ya waimbaji waliokuwepo katika tamasha hili katika tangazo hapo chini
Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851






































No comments:

Post a Comment