DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Monday, April 21, 2014

MATUKIO YA TAMASHA LA PASAKA MWAKA HUU 2014 KATIKA UWANJA WA TAIFA DAR-KEKE KUTOKA AFRIKA KUSINI NA SEKELETI KUTOKA ZAMBIA WAKISHIRIKIANA NA WAIMBAJI KUTOKA TANZANIA WAPAGAWISHA MASHABIKI WA YESU KRISTO


Edson Mwasabwite

Ni mwendo wa mfululizo, wimbo hadi wimbo. Prophet Keke punde baada ya kupanda jukwaani

Son of Tanzania, Ephraim Sekeleti

Babu na nani? Senior bachelor? mi sijui, ila hawa ni Philemon Rupia na Anthon Joseph wa WAPO Radio FM.

Baadhi ya kinadada wa GWT... glory glory..



'vocalists' wa Keke



Kekeletso




Kila mtu kwa raha zake

Baadhi ya umati uwanjani hapo

mtu na 'wajomba'zake

Moja kwa moja kutoka London nchini Uingereza,

Rose muhando, akiwatahadharisha watu kwa kibao chake kipya cha 'fesibuku'.

Kwani ni jambo lipi hilo yeye asiloliweza? Sarah K anauliza..

No comments:

Post a Comment