DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Friday, May 1, 2015

PICHA:MESS JACOB CHENGULA AKIFANYA KWELI SIKU YA JANA TABATA KIMANGA.

 Mess Jacob Chengula akiwa na Rose Muhando katika Mkutano Mkubwa ulio andaliwa Tabata Kimanga na Mtume Peter Nyaga.
Muimbaji Mess Jacob chengula ameendelea kupata kibali kwa watanzania hii
imetokana kuwa karibu na mashabiki wake....Mess Jacob kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya walio fanya na Upendo Nkone MUNGU HABADILIKI,watanzania wameupokea wimbo huu vizuri hivyo unazidi kumpatia ramani zuri Star Mess.

 Hapa kunamatukio ya picha alipokua akihudumu katika mkutano mkubwa huko Tabata Kimaga siku ya jana.
 Akienda sawa na Rose Muhando



 Star Mess akiwa na Rose Muhando siku ya janaa



No comments:

Post a Comment