Night of Worship ni ibada inayoandaliwa na The Next Level Tanzania, lengo likiwa ni kukusanya wakristo kutoka makanisa mbalimbali na kuwaleta pamoja ili wapate nafasi ya kumsifu na kumuabudu Mungu. Night of Worship sio tamasha la wanamuziki wa injili, bali ni ibada inayomfanya mkristo kusahau yote ya ulimwengu na kupata nafasi ya kusemezana na Mungu wake kwa namna moja au nyingine na si kama ilivyokuwa mazoea, hapa wakristo kutoka madhehebu mbalimbali husahau tofauti na yale yote yanayo onekana kuwa ni tofauti kati yao, kisha
hukusanyika kama mwili mmoja wa Krsito wakimsifu na kumuabudu.
The Next Level Tanzania imefanikiawa kufanya mkesha huu kwa mara mbili yani mwaka juzi 2012, mwaka jana 2013 na mwaka huu ikitazamiwa kuwa ni mara ya tatu ikiambatana na kauli mbiu isemayo ‘Know who you worship’ Yohana 4:24.
Mara hii ya tatu mkesha wa kusifu na kuabudu unaojulikana zaidi kwa jina la N.O.W uatafanyika Tarehe 28, February 2014 Siku ya ijumaa kuanzaia saa tatu usiku 9:PM Katika kanisa la City Christian Center Upanga T.A.G opposite Mzumbe University Dar es salaam Campus.
Mkesha huu utasindikizwa na waimbaji kama, Bariki Key, Temeke EAGT, AIC Chang’ombe, CASFETA vyuo Mkoa wa Dar es salaam, Soul Gospel, Ipyana and The Worshipers, Rivers of Life DPC, na kwa mara ya kwanza kitatambulishwa kikundi cha sanaa ya maigizo ya jukwaani na filamu ARTS IN CHRIST (AiC) Watako
Pastor Sam...Tuna kwenda sawa
Source: Uncle Jimmy

No comments:
Post a Comment