DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Monday, March 24, 2014

JULIETH DOUGRAS KUACHIA ALBAMU YAKE YA U-MTAKATIFU HIVI KARIBUNI

Watanzania na mataifa mabalimbli  muda wa kumsifu Mungu kwa kushirikiana na Julieth Dougras umefika sasa, ile albamu ya U Mtakatifu sasa inapatikana. Ndani ya hii albamu kuna nyimbo zengye mguso wa ajabu sana. Kwa kupitia uimbaji wa huyu mtumishi IMANI yako itazidi kudumu katika kumwamini Mungu. Ninakuomba usikose kujipatia nakala yako sasa.

Kazi ya kutengeneza cover imefanywa na Rumafrica +255 715 851523

Juliet Dougras - U Mtakatifu
Juliet Dougras - U Mtakatifu

No comments:

Post a Comment