DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Monday, March 17, 2014

SIKU YA JANA EDSON MWASABWITE AMEFUNGUA BLOGU YAKE

Hatimaye Mwimbaji maarufu sana nyimbo za Injili Tanzania ameamua kufungua blogu yake ambayo inaenda kwa link hii www.edsonmwasabwite.blogspot.com. Amesema blogu yake itabeba sana habari za huduma yake anayofanya ya uimbaji na huduma zingine anazotarajia kufanya. Piaa kutakuwa na habari mbalimba za watumishi wa Mungu na hasa waimbaji.
TANZANIA GOSPEL SINGER EDSON MWASABWITE
Blogu hii inatumika kwa sasa lakini bado iko katika maboresho na bloga wa RUMAFRICA

Karibuni sana na ninahitaji mchango wenu

No comments:

Post a Comment