Siku ya leo ilikuwa siku ya kipekee
kwangu kwani Mungu ametimiza ndoto yangu ya muda mrefu. Ninakushukuru
sana wewe uliyefika kuungana nami katika zoezi la kuzindua albamu yangu
ya Mungu habadiliki ndani ya Ubungo Plaza.
Nina kila sababu ya kumshukuru sana mwenyezi Mungu na malaika wake kwa kunilinda na kunipa afya njema mpaka siku hii ya leo kukamilisha kile nilichokuwa nahitaji kukifanya kwa muda mrefu kwa mapenzi Yake Mungu.
Ninamshukuru sana mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mawasiliano Mh Januari Makamba kwa kukubali kufika katika tamasha hili pamoja na familia yake.
Ninakushuru wewe uliyefika na uliyekuwa ukiniombea kwa Mungu ili nifanikiwe. Nina kila sababu ya kuwapongeza wadhamini wa tamasha hili AG Press, DTV, Rumafrica, Global Publisher kwa mchango wenu.
Ninawashukuru sana tena sana waimbaji wote waliofika kuniunga mkono siku ya leo, Mungu awabriki sana na azidi kuchochea huduma yenu ikawe na kibali mbele zake na mbele ya wanadamu. Uimbaji wenu ukawe chumvi na chachu ya kuwaleta watu kwa Yesu Kristo.
Nawapongeza watu wote kwa upendo wenu. Mungu wangu awabariki na kuwalinda daima
Kwa matukio zaidi mtembelee
www.messchengula.blogspot. com
www.rumaafrica.blogspot.co m

www.messchengula.blogspot.
www.rumaafrica.blogspot.co

Mkurugenzi wa RumAfrica Rulea Sanga (wa pili kutoka kulia) tembelea blogu yake www.rumaafrica.blogspot.com

Rulea Sanga

Rulea Sanga

Wauzaji wa tiketi

Masanduku yaliyobeba DVD za Mungu Habadiliki kabla ya kuzinduliwa

MC Chiwalo wa Wapo Radio na Boniface Magupa wa PPR

Miriamu Lukindo

Blogger Jimmy akiwa kazini

Ibarahimu Sanga

Betrice Mwaipaja

Bahati Bukuku

Atosha Kissava

Atosha Kissava

Mwinjilisti Sarah Mvungi

MC Boniface Magupa

Joshua Makondeko na madanza

Joshua Makondeko na madanza

Atosha Kissava (kulia)

No comments:
Post a Comment