Ikiwa ni siku ya kwanza kufnayika tamasha kubwa mkoani Mbeya
lililoandaliwa na Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), wakazi
wa Mbeya walikusanyika vya kutosha katika viwanja vya Nzovwe CCM
kujionea kazi ya wanamuziki wa Gospel Tanzania.
Sasa CHAMUITA imekuwa baraka sana kwa wakazi wa Mbeya mwaka 2014. Waimbaji mbalimbali wanaofanya kazi ya Mungu waliweza kumtukuza Mungu na kuwaleta watu kwa Yesu Kristo.
Tamasha hili linahitimishwa siku ya leo 21/06/2014.
Tuone baadhi ya matukio.
LEO TUTATOA PICHA ZA MESS JACOB CHENGULA AKISHIRIKI KATIKA TAMASHA HILI LA KIPEKEE TANZANIA. SIKU ZIJAZO TUTATOA ZA MWIMBAJI MWINGINE
No comments:
Post a Comment