DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Saturday, June 21, 2014

TAMASHA LA ATOSHA KISSAVA LASOGEZWA MBELE KUTOKANA NA MSIBA WA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI DEBORA SAID

Siku ya Jumapili 22/06/2014 ilikuwa ni siku ya kufanyika uzinduzi wa albamu ya Atosha Kissava katika kanisa la marehemu mama mchungaji Debora Said hapo Mabibo Extenal Ubungo jijini Dar es Salaam. Tamasha hili halitafanyika mpaka mtakapotangaziwa tena.

Tunawaomba radhi kwa yote yaliyotokea na tunasikitika sana na kifo cha mtumishi wa Mungu Debora Said



Atosha Kissava

Marehemu Debora Said

No comments:

Post a Comment