DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Wednesday, April 22, 2015

HAPA NIMEKUWEKEA PICHA ZA MATUKIO YA STAR MESS JACOB KATIKA TUA ZAKE MIKOANI.

Bwana anazidi kumuinua mtumishi wake Mess Jacob....wiki hii utakua ukipata matukio ya safari zake kutoka kwenye mikutano mbalimbali aliyo
alikwa kama sehemu ya huduma yake.Hapa ziko picha za matukio akiwa na Bishop Maboya mkoani Ifakara

                           Bishop Dastani Maboya akihubiri

  Mess Jacob

No comments:

Post a Comment