DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Tuesday, January 28, 2014

MUNGU ALIVYOMTUMIA MESS JACOB CHENGULA KWA MCHUNGAJI KATUNZI

Ukiongea sana utaonekana muongo ila ukionyesha vitendo utaonekana mkweli kwani watu watajionea kwa macho yao na ku-judge wenyewe. Na mimi nataka uone Mungu anavyoweza kutumia watu wake waliojitoa kwa kazi yake.

Mess Jacob Chengula anayetegemea kufanya uzinduzi wa albamu yake ya Mungu habadilika katika ukumbi tulivu wa UBUNGO PLAZA mwezi Machi, 02,2014 saa 6 mchana alifanya mambo ya kutisha katika moja ya tamasha lililofanyika katika kanisa la Mchungaji Katunzi. Hakika watu waliitikia sana uimbaji wake wenye mguso wa kipekee.

Ninakuomba usikose siku ya uzinduzi wake kwani utabarikiwa sana na huduma yake ambayo itasindikizwa na waimbaji 20. Kiingingilio ni kariibu na bure kabisa. VIP ni Tshs. 10,000 na viti vingine ni Tshs. 5,000

Tuone hii clip ya Mess Jacob Chengula.





No comments:

Post a Comment