Kuna style nyingi za kuanza mwaka, na hata kumaliza mwenzi au kuuanza pia. N katika hilo, inaweza ikawa kwa njia ya kufunga na kuomba, kushukuru, kuabudu na hata kusifu.
Na katika kusifu na kuabudu, ndipo hasa taarifa hii inakujia, ambapo
kanisa la Calvary Temple limeandaa mkesha wa kusifu na kuabudu, ambao
utaanza saa kumi na mbili jioni ya tarehe 31, hadi asubuhi ya tarehe 1
Februari, ambayo itakuwa siku ya Jumamosi.
Kama uko Arusha, basi na utueleze sababu ya kukosa.
No comments:
Post a Comment