DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Sunday, June 29, 2014

PICHA: MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ROSE MUSHI APATA MUME MWEMA.

Duniani wawili wawili, hili limetimia kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Rose Mushi baada ya kiu yake ya kuwa na mume kukausha siku ya leo ikishuhudiwa na mama mchungaji Maboya ambaye alimtoa rasmi kwaajili ya kukutana na mume wake kipenzi. Tutazidi kuwaletea mengi juu ya harusi hiii


Rose Mushi na mumewe.
 Mama Mchungaji Maboya Mchungaji wa Rose akimtoa rasmi kuweza kuolewa

No comments:

Post a Comment