DVD YA MUNGU HABADILIKI YA MESS JACOB CHENGULA

Sunday, June 29, 2014

TAIYA ODERO (SUZY) AMCHANGANYA BOSS WAKE KIMAPENZI OFISINI

Ile filamu iliyokuwa ikisubiriwa na watu wengi sana duniani ya INSIDE ya Jennifer Kyaka (Odama) cnini ya kampuni ya J-FILM 4 LIFE sasa itakuwa sokoni 10.07.2014. Utaweza kuona vituko vya maofisini kati ya wafanyakazi na mabosi. Taiya Odero (Suzy) ataona anavyofanya vitu vyake dhidi ya boss wa kampuni akitaka mapene kwa kupitia mapenzi na baadae kujutia tabia yake.

Filamu hii inawafundisha hata waliokoka ambao wokovu wao haujasimama na wanatumia wokovu kufanya vitendo viovu na wakubwa wao wa kazi wakitaka kujipatia pesa. Wanatumia uzuri wao kuwadanganya mabosi wao na mwisho wa siku wanajikuta wanaingia katika matatizo makubwa.

Kwahiyo kwa kupitia filamu hii utaweza kufunguka na kujifunza mengi


No comments:

Post a Comment