Yesu mwingine aonekana ghana na amekuwa akipita nyumba hadi nyumba
kuponya watu na wengi wa watu wakizani kuwa walikuwa wana act movie..
Mhhhh...!!Jamani mimi kama Rulea kwa kweli sina la kusema juu ya huyu Yesu wa Ghana. Ila hatuweze jua labda ni kweli kishashuka au ni uzushi tu. Huu ni wakati wa Wakristo kukaa chonjo maana dunia imeuzwa hii, mambo kibao yanatokea na watu wameona dili kutumia wokovu au njia za dini kuficha maovu yao na kufanya uchafu kwa nia za panya. Tunatakiwa kusugua magoti na kuomba juu ya huu uovu unaojicha ndani ya UKRISTO. Huwa ninafikiria sana kama kizazi hiki mambo yanakuwa haya, je kizazi kijacho kitakuwaje? Jamani kuhusu huyu Yesu wa Ghana binafsi memory yangu iko down hai-click kabisa kuamini kuwa kweli huyu ni Yesu au no...???, Ila sura yake inafanana na Yesu wa kwenye kideo. Poa yetu macho, tutaona mwisho wake, labda atakuja Bongo na tutamshuhudia...
Wenu katika Bwana
Rulea Sanga, Mkinga anayempenda Yesu Kristo

No comments:
Post a Comment